Vitisho Vitupu Badala ya Hatua ya Kijeshi Inaipa Nguvu Dola ya Kibaniani katika Uadui. Ni Khilafah Pekee Ndio Itakayo Walazimisha Maadui Zetu Kurudi Nyuma
- Imepeperushwa katika Pakistan
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Kwa kubwaga jukumu lake kimakusudi juu ya Uvamizi wa India Kashmir, serikali ya Bajwa-Imran inajifunga tu na vitisho vya kujibu mashambulizi juu ya mashambulizi katika Mpaka wote wa Udhibiti.