Jumapili, 05 Rajab 1446 | 2025/01/05
Saa hii ni: (M.M.T)
Menu
Main menu
Main menu

Afisi ya Habari
Wilayah Sudan

H.  25 Jumada II 1444 Na: HTS 1444 / 25
M.  Jumatano, 18 Januari 2023

 Taarifa kwa Vyombo vya Habari

Mwaliko wa Kuhudhuria na Kushiriki katika Mkutano na Waandishi wa Habari
(Imetafsiriwa)

Ni heshima yetu katika Afisi ya Habari ya Hizb ut Tahrir/Wilayah ya Sudan kuwaalika ndugu zetu katika vyombo vya habari, wanasiasa, na watu wenye fikra na maoni kuhudhuria na kushiriki katika mkutano na waandishi wa habari utakaofanywa na hizb katika Shirika la Habari la Sudan ( SUNA) chini ya kichwa:

Hizb ut Tahrir/ Wilayah ya Sudan Yazindua Kampeni Kupambana na Mihadarati

Ustadh Ibrahim Othman (Abu Khalil) - Msemaji Rasmi wa Hizb ut Tahrir katika Wilayah Sudan, na Dkt. Muhammad Abdul Rahman - Mwanachama wa Hizb ut Tahrir wote watazungumza katika mkutano huo.

Mahali: Shirika la Habari la Sudan (SUNA)

Tarehe na Wakati: Jumamosi, 29 Jumadi Al-Akhir 1444 H sawia na 22/01/2023 M, at 2:00 pm.

Wale ambao hawataweza kuhudhuria wanaweza kutufuatilia katika mitandao ifuatayo:

Ukurasa wa Wilayah: https://www.facebook.com/HTSudan/

Ukurasa wa Vyuo Vikuu: https://www.facebook.com/tahrir1953/

Chaneli ya Hizb ya YouTube: https://www.youtube.com/channel/UCUwZ-FlOIDgnk2Mook_9M-A

Uwepo wako ni heshima kwetu.

Ibrahim Othman (Abu Khalil)
Msemaji Rasmi wa Hizb ut Tahrir
katika Wilayah Sudan

Hizb-ut Tahrir: Afisi ya Habari
Wilayah Sudan
Address & Website
Tel: 

Andika maoni

Hakikisha umejaza (*) habari zinazohitajika palipoashiriwa. Kodi za HTML haziruhusiwi.

Vifungu vya Tovuti

Viunganishi

Magharibi

Ardhi za Waislamu

Ardhi za Waislamu