Tanzia ya Mbebaji Ulinganizi: Sultan Said
- Imepeperushwa katika Tanzania
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Kwa masikitiko makubwa Hizb ut Tahrir / Tanzania inaomboleza kwa ajili ya mmoja wa wanaharakati wake mahiri na mwanachama aliyejitolea:
Kwa masikitiko makubwa Hizb ut Tahrir / Tanzania inaomboleza kwa ajili ya mmoja wa wanaharakati wake mahiri na mwanachama aliyejitolea:
Jana Ijumaa 05 Ramadhan 1445 H / 15 Machi 2024 M wanaharakati wa Hizb ut Tahrir Tanzania katika baadhi ya maeneo walifanya Kampeni Maalum ya Ramadhan chini ya kauli mbiu ya ‘Ramadhan ni Kielelezo cha Umoja wa Ummah’
Kutokana hatua ya Baraza la Sanaa, Sensa ya Filamu na Utamaduni la Zanzibar kumzuia kwa miezi sita Zuchu, mwimbaji mziki wa Bongo fleva asifanye maonesho yake Zanzibar kuanzia tarehe 5 Machi 2024 kufuatia uimbaji wake usio na maadili katika onesho la Full Moon Kendwa Night Show lililofanyika kaskazini mwa Zanzibar mnamo tarehe 24 Februari 2024, sisi Hizb ut Tahrir /Tanzania tungepependa kusema yafuatayo:
Leo Ijumaa 20 Oktoba 2023 Miladi / 05 Rabi’ al-Akhir 1445 Hijria baada ya Swala ya Ijumaa, Hizb ut Tahrir Tanzania ilifanya visimamo vya maandamano baridi (picketing) sehemu mbali mbali nchini kutoa mwito kwa majeshi ya nchi za Waislamu kuchangamsha majeshi yao kuikomboa Gaza, Palestina na Masjid Aqsa.
Kufuatia kuingia mwaka Mpya wa Kiislamu wa 1445 Hijria ambapo kwa mara ya kwanza Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar rasmi imeifanya siku ya tarehe mosi Muharram kuwa siku ya mapumziko, huku Waislamu katika siku hiyo wakifanya amali mbalimbali za kuupokea na kuuadhimisha mwaka huo.
Kufuatia kampeni inayo endelea dhidi ya ushoga na mapenzi ya jinsia moja nchini Tanzania inayofanywa katika mikoa mbalimbali na Waislamu ikiwemo Hizb ut Tahrir Tanzania, tungependa kubainisha yafuatayo
Karibuni Shirika la International Development Association (IDA) liliipatia Zanzibar kiasi cha dolari $50 millioni (takriban Sh116.7 billioni) kwa dhamira ya kuboresha uwezo wa ufundishaji na kusaidia kuziba pengo la kijinsia katika mchakato wa kutoka darasa moja kwenda jengine.
Hizb ut Tahrir / Tanzania inaombeleza kifo cha mlinganizi wake kijana kwa jina Abdi Gibu Barie (38) wa mkoani mwanza, Kaskazini Magharibi ya Tanzania.
Marekani inalazimisha kwa Bara la Afrika sheria yake ya kikoloni na ya kinafiki katika jaribio lake la kujeruhi athari ya Urusi, kuitenga na kuidhoofisha kufuatia uvamizi wake nchini Ukraine.