Sikilizeni Kesi za Mahabusu, Wapeni Dhamana au Waachieni Huru Mara Moja
- Imepeperushwa katika Tanzania
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Ni karibu miaka mitatu sasa tangu wanachama watatu wa Hizb ut Tahrir Tanzania: Ustadh Ramadhan Moshi (41), Waziri Suleiman (33) na Omar Salum Bumbo (51) kunyakuliwa kisha kubambikiziwa mashtaka ya uongo ya ‘kula njama ya kutenda ugaidi’ na ‘kutenda matendo ya ugaidi’.