Jumatatu, 23 Jumada al-awwal 1446 | 2024/11/25
Saa hii ni: (M.M.T)
Menu
Main menu
Main menu

Hizb ut Tahrir / Wilayah Syria: Kisimamo kwa Anwani “Na Mwenyezi Mungu anatosha kuwa ni Mlinzi, na Mwenyezi Mungu anatosha kuwa ni Mwenye Kukunusuruni”

Kalima iliyotolewa na Ustadh Ali Al-Bakri wakati wa kisimamo kilichoandaliwa na Hizb ut Tahrir / Wilayah Syria siku ya Ijumaa “Na Mwenyezi Mungu anatosha kuwa ni Mlinzi, na Mwenyezi Mungu anatosha kuwa ni Mwenye Kukunusuruni” katika mji wa Kafra – viungani mwa kaskazini mwa Aleppo.

Soma zaidi...

Afisi Kuu ya Habari ya Hizb ut Tahrir: Amali za Kiulimwengu za Hizb ut Tahrir katika Kumbukumbu ya Kuvunjwa Khilafah 1445 H – 2024 M

Katika mwezi Mtukufu wa Rajab wa mwaka huu, 1445 H - 2024 M, inarudi tena kumbukumbu uchungu ya 103 ya kuvunjwa Dola ya Kiislamu na wahalifu wa Kiarabu na Kituruki, ambayo ilianzishwa na Bwana wa Mitume wote Muhammad, rehma na amani za Mwenyezi Mungu zimshukie, na maswahaba zake watukufu, Mwenyezi Mungu awe radhi nao, na kuondolewa kwa Mfumo wa utawala wa Kiislamu (Khilafah) mnamo tarehe 28 Rajab Tukufu katika mwaka wa 1342 H sawia na 3 Machi 1924 M

Soma zaidi...

Hizb ut Tahrir / Wilayah Tunisia: Matembezo ya Kuinusuru Gaza “Sisi Sio kwamba ni Watu Tunaowahurumia Watu wengine, bali Sisi ni Umma Mmoja”

Hizb ut Tahrir / Wilayah ya Tunisia, iliandaa "Matembezi ya Ukombozi" kwa kichwa “Sisi Sio kwamba ni Watu Tunaowahurumia Watu wengine, bali Sisi ni Umma Mmoja” kuyataka majeshi ya Waislamu yataharaki kuwanusuru Waislamu wanyonge katika Ardhi Iliyobarikiwa (Palestina) na kukomboa Msikiti uliobarikiwa wa Al-Aqsa na Palestina yote inayokaliwa kimabavu kuanzia mto wake hadi bahari yake kutokana na makucha ya Mayahudi wauwaji wahalifu.

Soma zaidi...

Vifungu vya Tovuti

Viunganishi

Magharibi

Ardhi za Waislamu

Ardhi za Waislamu