Afisi Kuu ya Habari: Ulinganizi wa Kiulimwengu Sehemu ya 61 – Khilafah Rashida kwa Njia ya Utume
- Imepeperushwa katika Afisi Kuu ya Habari
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Ulinganizi wa Kiulimwengu Sehemu ya 61 – Khilafah Rashida kwa Njia ya Utume
Ulinganizi wa Kiulimwengu Sehemu ya 61 – Khilafah Rashida kwa Njia ya Utume
Shari'ah (Sheria ya Kiislamu) inahifadhi heshima na hadhi aliyopewa mwanadamu na Muumba. Sheria hizi zinatokana na Qur'an Tukufu na Sunnah za Mtume ﷺ ambazo zinafafanua kwa kina haki zisizobadilika za kila mwanadamu.
Chaneli ya Kiislamu ya Oasis yaandaa majadiliano pamoja na Dkt. Nazreen Nawaz na Adnan Khan kuhusu siasa za kweli nyuma ya maandamano ya kupinga hijab nchini Iran.
Hizb ut Tahrir / Wilayah Tunisia iliandaa msururu wa visimamo vya kupinga sera ya kuiuza Tunisia kwa mfuko wa fedha wa kimataifa wa kikoloni!
Hizb ut Tahrir / Wilayah Tunisia iliandaa kisimamo katika mji wa Kayrawan kwa anwani “Damu ya Mashahidi Wetu Itawaandama Walowezi Walioachwa na Ufaransa, na Watu kamwe Hawatasahau.”
Hizb ut-Tahrir / Wilayah Syria iliandaa maandamano katika mji wa Atarib viungani mwa Aleppo
Sehemu ya khutba ya Ijumaa ya Sheikh Yusuf Makharza (Abu Hammam).
Hizb ut Tahrir / Wilayah Pakistan imezindua kampeni kwenye mitandao ya kijamii yenye kichwa "Uongozi wa Kiulimwengu wa Khilafah uko Tayari". Kampeni hiyo imetoa silsila ya video zenye ujumbe kwa Waislamu nchini Pakistan kutoka kwa idadi ya wawakilishi wa hizb kote duniani