Gazeti la Al-Raya: Vichwa Vikuu vya Toleo 338
- Imepeperushwa katika Al-Rayah
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Vichwa Vikuu vya Toleo 338
Vichwa Vikuu vya Toleo 338
Hizb ut-Tahrir / Wilayah Syria iliandaa msururu wa visimamo na maandamano kukemea unyanyasaji wa kinyama wa umbile la Kiyahudi dhidi ya wenye kuswali na kufanya itikaf katika Msikiti wa Al-Aqsa uliobarikiwa, ambao ulisababisha kujeruhiwa kwa Waislamu zaidi ya 600, wengi wao wakiwa vibaya, majeraha ya moja kwa moja kichwani.
Mayahudi makatili wanaeneza mashambulizi yao ya kinyama katika maeneo yote ya Palestina, haswa Masra (eneo la Isra') ya Mtume (saw) na Gaza ya kishujaa, na kuchoma moto mawe na miti, na kumwaga damu, na waliojeruhiwa miongoni mwa watu wa Palestina wanazidi kuongezeka.
Ardhi Iliyobarikiwa: Maoni ya Habari "Nusra ya Al-Aqsa iko kwa Kuyapeleka Majeshi Kuikomboa Palestina na Kuling'oa Umbile la Kiyahudi!"
Vichwa Vikuu vya Toleo 337
Uislamu katu hauruhusu majadiliano ya kukubaliana na makafiri kuhusu maswala ya Ardhi za Waislamu na haki na ulinzi wa Waislamu.
Hizb ut Tahrir / Wilayah ya Syria iliandaa kisimamo katika mji wa Atma viungani mwa Idlib kwa anwani "Fanyeni Haraka katika Ramadhan Kuachwa Huru na Kutaka Kuachwa Huru"
Watawala wa Pakistan wanaendelea kuukumbatia ulazimishaji wa kiuchumi kuliko masuala ya heshima ya Mtume (saw), Kashmir Iliyokaliwa na kulinda ushawishi wa Marekani nchini Afghanistan.
Vichwa Vikuu vya Toleo 336