Enyi Waislamu, Zikingeni Familia zenu na Moto kwa Kutimiza Ahadi zenu kwa Mwenyezi Mungu (swt) na Kusimamisha Khilafah
- Imepeperushwa katika Khilafah
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Mwenyezi Mungu (swt) amewaamrisha waja Wake kuzikinga familia zao kutokana na Moto kwa kujifunga juu ya yale Aliyotuamrisha kuyafanya na kwa kujiepusha kutokana na yale Aliyotukataza.