“Wewe tu Tunakuabudu, na Wewe tu Tunakuomba Msaada”
- Imepeperushwa katika Uchambuzi
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Kila siku, katika kila swala, ya faradhi au nafila, Waislamu wanasoma kauli ya Mwenyezi Mungu (swt), aya katika Surat Al-Fatiha:
Kila siku, katika kila swala, ya faradhi au nafila, Waislamu wanasoma kauli ya Mwenyezi Mungu (swt), aya katika Surat Al-Fatiha:
Vita katika Ukraine vimeiweka Magharibi katika mapambano dhidi ya adui wake wa muda mrefu – Urusi.
Hizb ut Tahrir [HT] ni chama cha kisiasa cha kilimwengu ambacho fikra yake ni Uislamu na lengo lake pekee ni kurejesha njia ya maisha ya Kiislamu kwa kuirejesha tena Khilafah. Tokea kuanzishwa kwake mnamo 1953, katika Al-Quds (Jerusalem), fikra yake na njia yake ya kufikia lengo hili zimechimbuka katika ufahamu wa ndani wa Uislamu, Aqida yake na nidhamu zake.
Waislamu wanajua kuwa Wamagharibi hawataki Uislamu uishi katika umbo lenye mamlaka ya utendaji. Wanajua pia kuwa dola zao za kikoloni na vyombo vyao vya habari, vya kijasusi na kisiasa vinafanya kazi muda wote kuzuia kurejea kwa Dola ya Khilafah.
Katika vyuo vikuu, wanafunzi wanashajiishwa kufuata fikra za kiliberali. Wanaambiwa kuwa hiyo ndio njia pekee ya wao kuwa ni wasiopendelea upande wowote na ‘kuwakubali’ wote walio wachache.
Afisi ya Umoja wa Mataifa ya kuratibu masuala ya kibinadamu (OCHA) mnamo siku ya Alhamisi, tarehe 10 Januari 2022, iliibua wasiwasi kuhusu hali ya wanawake na wasichana nchini Afghanistan
Wakati sisi Waislamu tunapofikiria kuhusu dori ya wanawake katika vyombo vya habari, kuna uhalisia wa aina unaojitokeza akilini.
Fahamu ya utawala sio suala la muundo wa kisasa. Ni la zamani kama ilivyo fahamu ya mujtamaa. Mujtamaa muda wote zilihitaji kusimamiwa, ambapo hilo linawezekana tu kupitia mamlaka au utawala wa sheria.
Ubakaji na aina nyengine za udhalilishaji wa kijinsia dhidi ya wanawake wa Kiislamu ni jambo lililoenea katika ardhi za Waislamu tokea kuanguka kwa Khilafah. Wakoloni wametumia udhalilishaji wa kijinsia kuwafedhehesha na kuwatiisha wanawake na familia zao.
Kumekuwa na mazungumzo mengi juu ya kifo cha dolari na katika muongo mmoja uliopita, idadi kadhaa ya wenye kushindana imeibuka kudai nafasi ya ubwana wa dolari.