Mifumo Iliyoundwa na Wanaadamu ni yenye Kushindwa katika Azma Zao Hivyo Kasoro zao Zimefichuka
- Imepeperushwa katika Khilafah
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Baada ya mataifa ya kikafiri kuungana dhidi ya Dola ya Khilafah na kuiondosha mwaka 1924 Miladi, na kugawanya ardhi za Waislamu katika vijinchi vidogo vidogo, Ummah umeathiriwa na tawala ambazo bila ya kuwa na mamlaka kutoka kwa Mwenyezi Mungu (swt)...