Nidhamu ya Kuadhibu ya Kiislamu
- Imepeperushwa katika Khilafah
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Ni baraka za Mwenyezi Mungu (swt) kumtuma Mtume wake na Dini ya Haki (Uislamu) na kutubariki sisi na Khilafah ambayo kupitia kwake Ummah wa Waislamu wanabeba jukumu la kulingania ujumbe wa Uislamu kwa wanadamu.