Bishara Njema ya Kurudi Khilafah Inatutaka Tufanye Matendo Mema ili Tupate Ushindi wa Mwenyezi Mungu (swt)
- Imepeperushwa katika Uchambuzi
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Ahmed amesimulia kwamba Mtume wa Mwenyezi Mungu (saw), ambaye huwasilisha maana hukmu za Mwenyezi Mungu (swt) katika maneno yake mwenyewe (saw) kama sehemu ya Sunnah yake, ambaye hazungumzi isipokuwa yale aliyoteremshiwa (saw) kutoka kwa Mola wake