Je, Watawala wamefanya nini hasa, zaidi ya Kuruhusu Tuchuruzike Damu?
- Imepeperushwa katika Uchambuzi
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Matukio ya kutisha huko Gaza yameifanya dunia nzima kuamka na kufikiria. Kwa mara ya kwanza, inaonekana kuna utambuzi wa kimataifa wa ukweli kwamba watawala ndani ya mfumo huu wametufelisha sisi sote.