Barua ya Wazi kwa Naveed Butt, Mashahidi na Wakandamizaji Wake
- Imepeperushwa katika Uchambuzi
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Ndugu Naveed Butt, msemaji rasmi wa Hizb ut Tahrir / Wilayah Pakistan hivi sasa ana umri wa miaka 52, ametekwa nyara na mawakala wa utawala wa Pakistan mnamo 11 Mei 2012 kutoka barabara za Lahore mbele ya watoto wake wakati akiwarudisha kutoka shule.