Ijumaa, 27 Muharram 1446 | 2024/08/02
Saa hii ni: (M.M.T)
Menu
Main menu
Main menu

Hizb ut Tahrir / Wilayah Uturuki Filamu ya Makala: Ukinzani wa Idara ya Mahakama ya Uturuki katika Mashtaka Dhidi ya Hizb ut Tahrir!

Filamu ya makala iliyotayarishwa na jarida la Kokludegisim (linalochapishwa na Hizb ut-Tahrir nchini Uturuki) inaangazia mashtaka yasiyo haki ya idara ya mahakama ya Uturuki dhidi ya mashababu wa Hizb ut-Tahrir na ukinzani wa kimahakama katika hukumu zilizotolewa na utawala dhalimu juu yao.

Soma zaidi...

Hizb ut Tahrir/ Wilayah Sudan: Ripoti ya Habari 13/06/2022

Katika muendelezo wa amali za hadhara zilizoandaliwa na Hizb ut Tahrir/Wilayah Sudan katika maeneo tofauti tofauti ya nchi, ili kuuamsha Umma wa Kiislamu kupitia kuunda rai jumla inayofahamu masuluhisho ya Uislamu, yanayoshughulikia mpango wa mfumo wa pande tatu wa mazungumzo ya kutatua mgogoro wa utawala nchini, migomo ya wafanyakazi na masuala mengine.

Soma zaidi...

Vifungu vya Tovuti

Viunganishi

Magharibi

Ardhi za Waislamu

Ardhi za Waislamu