Jumatatu, 23 Muharram 1446 | 2024/07/29
Saa hii ni: (M.M.T)
Menu
Main menu
Main menu

Hizb ut Tahrir / Wilayah Bangladesh iliandaa Kisimamo cha Kulaani Mauaji ya Halaiki Gaza Enyi Waislamu! Kataeni ‘Suluhisho la Dola Mbili’ na Mutoe Wito kwa Maafisa wa Jeshi Wafuate Nyayo za Salahuddin Ayyubi ili Kuikomboa Palestina

Hizb ut Tahrir / Wilayah Bangladesh, leo, Ijumaa (10/5/2024), iliandaa visimamo na maandamano ya kulaani katika majengo mbalimbali ya misikiti ya Dhaka na Chittagong, yenye kichwa “Enyi Waislamu! Kataeni 'Suluhisho la Dola Mbili' na mutoe wito kwa maafisa wa jeshi kufuata nyayo za Salahuddin Ayyubi ili kuikomboa Palestina."

Soma zaidi...

Tangu tarehe 11 Mei 2012, Naveed Butt, Msemaji wa Hizb ut Tahrir katika Wilaya ya Pakistan Alisalia katika Kupotezwa kwa Kulazimishwa kwa Sababu Anaitetea Khilafah Rashida

Kutekwa nyara kwa Naveed Butt tangu tarehe 11 Mei 2012, ni dhambi kubwa na ukiukaji wa wazi wa haki za binadamu. Hakuna kesi ya ugaidi, uasi au uhaini iliyosajiliwa dhidi ya Naveed Butt. Zaidi ya hayo, hakuna kesi hata ya kumdhuru nzi, au kung'oa jani kutoka kwa mti, ya Naveed Butt mwenye huruma na mkarimu.

Soma zaidi...

Hizb ut Tahrir / Wilayah Tunisia: Matembezi “Enyi Jeshi la Fahari la Tunisia, Utawala Unawakuwekeni kwenye Mikono ya Adui Yenu na Muuaji wa Watu Wetu huko Gaza!”

Hizb ut Tahrir / Wilayah Tunisia inaendeleza kuinusuru kwake Gaza ambapo mpaka sasa imeandaa matembezi 33 tangu kuzinduliwa cheche ya Kimbunga cha Al-Aqsa, na ina nia ya kuuamsha Umma na majeshi yake hadi wasimamishe dola la Uislamu aliyowafaradhishia juu yao Mwenyezi Mungu.

Soma zaidi...

Hizb ut Tahrir / Wilayah Tunisia: Matembezi “Enyi Majeshi ya Waislamu Je, Mnaiacha Gaza Pekee Yake katika Kukabiliana na Mayahudi na Makruseda?!”

Hizb ut Tahrir / Wilayah ya Tunisia iliandaa matembezi yenye kichwa “Enyi Majeshi ya Waislamu Je, Mnaiacha Gaza Pekee Yake katika Kukabiliana na Mayahudi na Makruseda?!” baada ya swala ya Ijumaa kutoka Msikiti wa Al-Fatah katika mji mkuu.

Soma zaidi...

Vifungu vya Tovuti

Viunganishi

Magharibi

Ardhi za Waislamu

Ardhi za Waislamu