Jumatano, 15 Rajab 1446 | 2025/01/15
Saa hii ni: (M.M.T)
Menu
Main menu
Main menu

بسم الله الرحمن الرحيم

Kenya: Amali kwa Mnasaba wa Kumbukumbu ya Karne Moja ya Kuvunjwa kwa Khilafah

Chini ya uongozi wa Amir wa Hizb ut-Tahrir, mwanachuoni mkubwa Ata bin Khalil Abu Al-Rashta, Mwenyezi Mungu amhifadhi, Hizb ut-Tahrir amezindua kampeni pana ya kiulimwenguni kwa mnasaba wa kumbukumbu ya karne moja Hijria ya kuvunjwa kwa Khilafah, 28 Rajab al-Muharram 1442 H / 2021 M, na katika ukurasa huu, tutaangazia amali zilizoandaliwa na Hizb ut-Tahrir / Kenya ndani ya wigo wa kampeni ya kiulimwengu iliyozinduliwa na Hizb.

Jumamosi, 01 Rajab 1442 H sawia na 13 Februari 2021 M

Taarifa kwa Vyombo vya Habari

Tokea Kuvunjwa kwa Khilafah, Kubomolewa kwa Majumba ya Ibada Yamekuwa ni Maafa kwa Waislamu Wote.

Ili Kusoma Taarifa Hii Bonyeza Hapa

Toleo maalum la Jarida la UQAB lililotolewa na Mashababu wa Hizb ut Tahrir Kenya juu ya amali za Karne Moja ya Kuvunjwa kwa Khilafah 1442 H - 2021 M:

Ili kupakua nakala ya Kiswahili Bonyeza Hapa

Ili kupakua nakala ya Kiingereza Bonyeza Hapa

Rajab 1442 H
Miaka 100 Bila ya Khilafah!
Isimamisheni, Enyi Waislamu!

Muhadhara katika Msikiti wa Taqwa, Marikiti, Mombasa - Kenya

- Ustadh Shaban Mwalimu, Mwakilishi kwa Vyombo vya Habari wa Hizb ut Tahrir Kenya

- Ndugu Hussein Muhammad, Mwanachama wa Afisi ya Habari ya Hizb ut Tahrir Kenya

Jumapili, 23 Rajab al-Muharram 1442 H sawia na 07 Machi 2021 M

- Alama Ishara za Kampeni -

#أقيموا_الخلافة

ReturnTheKhilafah#

#YenidenHilafet

#خلافت_کو_قائم_کرو

#TurudisheniKhilafah

Kwa Maelezo Zaidi Tafadhali Zuru Mitandao ya Hizb ut Tahrir / Kenya:

Tovuti Rasmi ya Hizb ut Tahrir / Kenya

Ukurasa wa Facebook wa Hizb ut Tahrir / Kenya

Ukurasa wa Twitter wa Hizb ut Tahrir / Kenya

Chaneli ya YouTube ya Hizb ut Tahrir / Kenya

Akaunti ya Instagram ya Hizb ut Tahrir / Kenya

- Video -

[ Miji 100 Inatamka Neno Lake ]

Malaka - Amman - Takaungu

Jumatano, 19 Rajab Muharram 1442 H - 03 Machi 2021 M

[ Miji 100 Inatamka Neno Lake ] 

Delhi - Harim - Malindi

Alhamisi, 13 Rajab Muharram 1442 H - 25 Februari 2021 M

[ Miji 100 Inatamka Neno Lake ]

Comila – Mombasa – Tunis

Jumamosi, 01 Rajab Muharram 1442 H - 13 Februari 2021 M

Mkusanyiko wa Picha

Click to enlarge image 1614633140395.jpg

Click to open image!

Walinganizi wa Hizb ut Tahrir / Kenya watembea katika barabara za Mombasa wakiingiliana na Ummah kwa wito wa kusimamisha tena Khilafah.

22 Rajab 1442 H - 6 Machi 2021 M

Waliganizi wa Hizb ut Tahrir / Kenya katika Msikiti wa Barakat, Kisauni - Mombasa wafanya darsa ya umma wakizungumzia mada mbili muhimu:

- Kauli za Viongozi wa Kimagharibi Kuhusu Khilafah

- Ndugu Saalim Muhammad

Bishara Njema za Kurudi kwa Khilafah katika Quran na Sunnah

- Ust Muhammad Abubakar (Mufti)


22 Rajab 1442 H - 6 March 2021 M

Hizb ut Tahrir / Kenya iliandaa darsa ya Umma mnamo Jumapili katika Msikiti wa Taqwa - Marikiti, Mombasa

23 Rajab 1442 H - 07 Machi 2021 M

Hizb ut Tahrir / Kenya yaonyesha video kwa Umma kuhusu kuvunjwa kwa Khilafah mjini Mombasa

23 Rajab 1442 H - 07 March 2021 M

Kutoka Mji Mkuu Nairobi Kenya Risala za Kuiunga Mkono Hizb na Kampeni chini ya kauli mbiu:
"Isimamisheni, Enyi Waislamu!" Katika Karne Moja ya Kuvunjwa kwa Khilafah

24 Rajab 1442 H - 08 Machi 2021 M

Bayan katika Msikiti wa Ahli Sunnah, Mjini Gede - Malindi

Ikitolewa na Ndugu Amin Tamimi

Ijumaa, 28 Rajab 1442 H sawia na 12 Machi 2021 M

Mashababu wa Hizb ut Tahrir Kenya wakitembea katika barabara za mji wa Mombasa wakialikia kongamano la kiulimwengu lililofayika katika Al-Waqiyah TV

Jumamosi, 29 Rajab 1442 H sawia na 13 Machi 2021 M

Khutba ya Ijumaa

Ijumaa, 28 Rajab 1442 H sawia na 12 Machi 2021 M

Visimamo katika Miji Anuwai

Ijumaa, 28 Rajab 1442 H sawia na 12 Machi 2021 M

Click to enlarge image IMG-20210318-WA0081.jpg

Click to open image!

Jumbe za Kulingania Kusimamisha Khilafah

Ubandikaji Vibandiko vya Kampeni

Andika maoni

Hakikisha umejaza (*) habari zinazohitajika palipoashiriwa. Kodi za HTML haziruhusiwi.

rudi juu

Vifungu vya Tovuti

Viunganishi

Magharibi

Ardhi za Waislamu

Ardhi za Waislamu