Kutarajia Maendeleo Kutoka kwa Sera za Uchumi wa Kirasilimali ni Ndoto
- Imepeperushwa katika Habari na Maoni
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Kwa mujibu wa shirika la msaada la Oxfam, matajiri 26 wanamiliki mali za watu bilioni 3.8 ambao wanajumuisha nusu ya watu masikini duniani.