Kifo cha Mugabe: Sio Mwisho wa Mkono wa Ukoloni
- Imepeperushwa katika Habari na Maoni
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Viongozi wa dunia waliomboleza kifo cha aliyekuwa Rais wa Zimbabwa Robert Gabriel Mugabe aliyefariki huko Singapore mnamo 6 Septemba 2019 akiwa na umri wa miaka 95.