Waislamu wa Asia ya Kati Wanataka Mabadiliko Lakini ni Kipi Kinachohitajika Kubadilishwa!?
- Imepeperushwa katika Habari na Maoni
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Mnamo Julai 4, Shirika la Habari la Fergana, likinukuu Afisi ya Mwendesha Mashtaka Mkuu na Huduma ya Usalama ya Serikali, liliripoti: “Mnamo Julai 1-2, maandamano makubwa yalifanyika kupinga kuanzishwa kwa marekebisho ya Katiba ambayo yangeinyima jamhuri hadhi yake ya kisheria.



