Ubebaji wa Da'wah ni Faradhi ya lazima ama ni Faradhi ya Kutoshelezana?
- Imepeperushwa katika Maswali ya Kimfumo
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Assalaamu alaikum Warahmatullahi Wabarakatuhu Ewe Shaykh Ata ibn Khalil Abu Rashta Nataraji umzima, familia yako na Mashababu wote katika Ardhi Iliyobarikiwa ya Palestina.
Mwenyezi Mungu akubariki Ewe Shekh na akufungulie, nina swali tafadhali: Je, Hizb ut Tahrir huzingatiwa kuwa ni Ash'ariya katika maudhui ya Aqeeda ama Hizb ina ufahamu wake maalum katika maudhui ya Aqida? Shukran
Assalam Alaikum Ewe Amiri wetu, vipi hali yako? Wakati dola ya Kiislamu itakaposimamishwa, Hizb ut Tahrir itaenda kwenye marhala (hatua) gani?
Assalamu Alaikum Sheikh wetu mheshimiwa: kuna tofauti gani kati ya rai iliyotangulia na maalumati yaliyotangulia katika njia ya kufikiri.
Swali kuhusu ukusanyaji wa Qur’an tukufu zama za Abubakar As-Swidiq radhi za Mwenyezi Mungu zimwendee.
Ni ipi hukmu ya kuswali na nguo zilizoyunyiziwa marashi yenye pombe? Mwenyezi Mungu akulipe kheri.
Assalamu Alaikum wa Rahmatullahi wa Barakatuh Sheikh Wetu, Mwenyezi Mungu akufungulie mikononi mwako, akubali utiifu wako, na atuharakishie nusra na tamkini.
Mmoja katika ndugu aliniaibisha kwa swali ambalo nadhani yuko sahihi kwalo, licha ya jaribio langu la kuielezea hali tunayoishi ndani yake, lakini bado angali hajakinaika.