Uhakika wa Maandamano Nchini Sudan
- Imepeperushwa katika Maswali ya Kisiasa
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Maandamano yaliyozuka kwa zaidi ya miezi miwili yangali yanaendelea mpaka leo. Je, yamechochewa na hali mbaya za kiuchumu? Au sababu ya maandamano hayo nchini Sudan ni taharuki katika mahusiano kati ya Khartoum na Washington baada ya ziara ya Naibu Waziri wa Kigeni wa Amerika, John Sullivan, jijini Khartoum mnamo Novemba 2017?