Jumapili, 16 Rajab 1442 | 2021/02/28
Saa hii ni: (M.M.T)
Menu
Main menu
Main menu

بسم الله الرحمن الرحيم

Al-Waqiyah TV: Silsila "Katika Kumbukumbu ya Karne Moja ya Kuvunjwa kwa Khilafah: Miji 100 Inatamka Neno Lake!"

Chini ya uongozi wa Amir wa Hizb ut-Tahrir, mwanachuoni mkubwa Ata bin Khalil Abu Al-Rashta, Mwenyezi Mungu amhifadhi, Hizb ut-Tahrir amezindua kampeni pana ya kiulimwenguni kwa mnasaba wa kumbukumbu ya karne moja Hijria ya kuvunjwa kwa Khilafah, 28 Rajab al-Muharram 1442 H / 2021 M, na kwa mnasaba huu Afisi Kuu ya Habari ya Hizb ut-Tahrir inafuraha kuwasilisha kwa wafuasi na wanaozuru kurasa za afisi kuu ya habari, silsila mpya ya video kutoka vipindi vya Al-Waqiyah TV kwa anwani: "Katika Kumbukumbu ya Karne Moja ya Kuvunjwa kwa Khilafah: Miji 100 Inatamka Neno Lake!" Ambapo kamera ya chaneli ya Al-Waqiah imefanya ziara katika nchi za Kiislamu kutoka mashariki ya mbali hadi magharibi ya mbali ili kuthibitisha kuwa kina mama wa miji ya Kiislamu bado wangali wanatamani utukufu na mamlaka ya Uislamu na kinga yake, na kwamba licha ya kupita miaka 100 tangu kuvunjwa kwa dola ya Uislamu (Khilafah) na kugawanywa kwa nchi za Kiislamu ugawanyaji wa kiovu, na kutawalishwa watawala Ruwaibidha (wajinga) shingoni mwa Umma na kuushughulisha Ummah kwa misiba, masaibu na dhiki ya maisha, bado unatambua mahali wokovu wake ulipo na unataka kusimamishwa upya kwa dola ya Uislamu kikamilifu, kama vile alivyoisimamisha bwana wa wamwanzo na wengineo, Mtume wa Mwenyezi Mungu, Muhammad (saw) (kwa njia ya utume). Tukimwomba Mwenyezi Mungu (swt), atuharakishie kusimama kwa Dola ya Khilafah Rashida ya pili kwa njia ya Utume, Mwenyezi Mungu (swt) ameahidi na Mtume Wake (saw) akatoa bishara njema, na Mwenyezi Mungu ni muweza wa hilo. Basi kuweni pamoja nasi ...

- Video ya Ualishi wa Silsila Hizi -

[ Miji 100 Inatamka Neno Lake ]

Comila – Mombasa – Tunis

(Sehemu 1)

Jumamosi, 01 Rajab Muharram 1442 H - 13 Februari 2021 M


[ Miji 100 Inatamka Neno Lake ]

- Kwelalambour - Jenin - Lagos

(Sehemu 2)

Jumapili, 02 Rajab Muharram 1442 H - 14 Februari 2021 M

[ Miji 100 Inatamka Neno Lake ] 

Badkhashan - Armanaz - Om Dorman

(Sehemu 3)

Jumatatu, 03 Rajab Muharram 1442 H - 15 Februari 2021 M


[ Miji 100 Inatamka Neno Lake ] 

Chinny - Belgic - Saadnayel

(Sehemu 4)

Jumanne, 04 Rajab Muharram 1442 H - 16 Februari 2021 M

[ Miji 100 Inatamka Neno Lake ] 

Kangar - Sanaa - DeLong

(Sehemu ya 5)

Jumatano, 05 Rajab Muharram 1442 H - 17 Februari 2021 M

[ Miji 100 Inatamka Neno Lake ] 

Naryanjang - Qalqilkyah - Odissa

(Sehemu 6)

Alhamisi, 06 Rajab Muharram 1442 H - 18 Februari 2021 M

[ Miji 100 Inatamka Neno Lake ] 

Ammoureyah - Islamabad - KhartoumBahri

(Sehemu 7)

Ijumaa, 07 Rajab Muharram 1442 H - 19 Februari 2021 M

[ Miji 100 Inatamka Neno Lake ] 

JawharLama - MaaratMasrin - Dar es Salaam

(Sehemu 8)

Jumamosi, 08 Rajab Muharram 1442 H - 20 Februari 2021 M

[ Miji 100 Inatamka Neno Lake ] 

Kandahar - Istanbul - Hadhramout

(Sehemu 9)

Jumapili, 09 Rajab Muharram 1442 H - 21 Februari 2021 M

[ Miji 100 Inatamka Neno Lake ] 

Chittagong - Aleppo - Beirut

(Sehemu 10)

Jumatatu, 10 Rajab Muharram 1442 H - 22 Februari 2021 M

[ Miji 100 Inatamka Neno Lake ] 

Tenjak - Port Louis - Jisr Al-Shughur

(Sehemu 11)

Jumanne, 11 Rajab Muharram 1442 H - 23 Februari 2021 M

[ Miji 100 Inatamka Neno Lake ] 

Nablus - Al-Abyadh - Boursa

(Sehemu 12)

Jumatano, 12 Rajab Muharram 1442 H - 24 Februari 2021 M

Andika maoni

Hakikisha umejaza (*) habari zinazohitajika palipoashiriwa. Kodi za HTML haziruhusiwi.

rudi juu

Vifungu vya Tovuti

Viunganishi

Magharibi

Ardhi za Waislamu

Ardhi za Waislamu