Jumatatu, 21 Jumada al-thani 1446 | 2024/12/23
Saa hii ni: (M.M.T)
Menu
Main menu
Main menu

بسم الله الرحمن الرحيم

Al-Waqiyah TV: Silsila "Katika Kumbukumbu ya Karne Moja ya Kuvunjwa kwa Khilafah: Je, Imewafikieni Habari?"

Chini ya uongozi wa Amir wa Hizb ut-Tahrir, mwanachuoni mkubwa Ata bin Khalil Abu Al-Rashta, Mwenyezi Mungu amhifadhi, Hizb ut-Tahrir amezindua kampeni pana ya kiulimwenguni kwa mnasaba wa kumbukumbu ya karne moja Hijria ya kuvunjwa kwa Khilafah, 28 Rajab al-Muharram 1442 H / 2021 M, na kwa mnasaba huu Afisi Kuu ya Habari ya Hizb ut-Tahrir inafuraha kuwasilisha kwa wafuasi na wanaozuru kurasa za afisi kuu ya habari, silsila mpya ya video kutoka vipindi vya Al-Waqiyah TV kwa anwani: "Katika Kumbukumbu ya Karne Moja ya Kuvunjwa kwa Khilafah: Je, Imewafikieni Habari?!" Nayo ni ibara kutoka katika vipande vya video za ulinganizi wa kifikra kwa mnasaba wa kuvunjwa kwa Dola ya Kiislamu (Khilafah). Basi kuweni pamoja nasi ...

Jumamosi, 01 Rajab al-Muharram 1442 H sawia na 13 Februari 2021 M

[ Kipande - 01]

Hakika Umma wa Kiislamu umepitia kipindi kirefu cha mporomoko, kisha ukasibiwa na vita vya kifikra, kupatikana kwa mizozo ya kikabila na kizalendo, na mkoloni kafiri akafanikiwa kupanda mbegu za fitina na mfarakano kati yao, mpaka akaweze kuivunja Dola ya Khilafah kwa kusaidiwa na wasaliti wa Kiarabu na Kituruki.

Jumamosi, 01 Rajab al-Muharram 1442 H sawia na 13 Februari 2021 M

Andika maoni

Hakikisha umejaza (*) habari zinazohitajika palipoashiriwa. Kodi za HTML haziruhusiwi.

rudi juu

Vifungu vya Tovuti

Viunganishi

Magharibi

Ardhi za Waislamu

Ardhi za Waislamu