Jarida la Al-Waie: Vichwa Vikuu vya Habari vya Toleo 430
- Imepeperushwa katika Afisi Kuu ya Habari
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
Uchumi wa Pakistan unadorora kutokana na biashara ya kimataifa kuegemezwa juu ya na dolari, deni lenye riba na uagizaji ghali wa mafuta na mashini kutoka nje ya nchi.
Hizb ut Tahrir iliandaa kisimamo mjini Gaza Al-Hishem / Ardhi Iliyobarikiwa (Palestina) cha kuyaomba nusra majeshi ya Umma kuunusuru Msikiti Al-Aqsa uliobarikiwa na kuutakasa kutokana na najisi ya Mayahudi.
Ujumbe ambao Waislamu wa Al-Qudsi waliuelekeza kwa Waziri wa Mambo ya Nje wa Uturuki Mevlut Cavusoglu wakati wa ziara yake ya kufedhehesha katika Msikiti uliobarikiwa wa Al-Aqsa...
Jumapili asubuhi, Mei 22, 2022, Hizb ut Tahrir / Wilayah Tunisia iliandaa kisimamo cha kukataa miradi ya kisiasa ya kisekula ambayo inaupinga Uislamu waziwazi na hukmu zake inayofungamana na maadui wa Waislamu kutoka katika ukoloni wa Magharibi na mfano wake.
Watu Wametambua kuwa Demokrasia Imefeli. Njia pekee ya kujinasua ni kufuata Sunnah ya Mtume.
Afisi Kuu ya Habari ya Hizb ut Tahrir inafuraha kuwasilisha kwa wafuasi na wanaozuru kurasa za Afisi Kuu ya Habari DVD mpya katika lugha tano yenye kichwa: