Walinzi wa Kike wa Demokrasia Hawawakilishi Wanawake wa Sudan ambao Wanaikufuru Demokrasia
- Imepeperushwa katika Sudan
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Mnamo Jumatano, 15/5/2024, mjumbe wa Marekani nchini Sudan, Perriello, alitembelea makao makuu ya Alharisat (Shirika la Walinzi wa Kike wa Mapinduzi) jijini Kampala, ambako alifanya mashauriano ili kujifunza kuhusu maoni ya kuweka amani nchini Sudan.



