Ufisadi Nchini Kenya
- Imepeperushwa katika Kenya
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Kwa mara nyingine tena, Kenya iko katika kurunzi ya ulimwengu kuhusiana na ufisadi. Kwa mujibu wa utafiti kuhusiana na matukio ya uhalifu wa kiuchumi uliotolewa jijini Nairobi mnamo Ijumaa 26 Februari 2016 na kampuni ya uhasibu ya Price Waterhouse Coopers (PwC), Kenya imeorodheshwa nchi ya tatu fisadi zaidi ulimwenguni.