Jumapili, 07 Dhu al-Hijjah 1447 | 2026/05/24
Saa hii ni: (M.M.T)
Menu
Main menu
Main menu

Nchini Urusi, Wanawake wa Kiislamu Waliojistiri Wanakamatwa na Kufanyiwa Ukatili!

Mnamo Septemba 18, 2024, vyombo vya habari vya Urusi viliripoti uvamizi na ukamataji huko Tatarstan unaohusisha kina dada wanne Waislamu wanaotuhumiwa kuwa wa Hizb ut Tahrir. Wanakabiliwa na vifungo vya jela kwa zaidi ya miaka kumi chini ya Kifungu cha 205/5 cha sheria ya Shirikisho la Urusi. Kina dada hao, Leysan Sadykova (Лейсан Садыкова), Aliya Vaisova (Алия Ваисова), Alsina Khairullina (Альсина Хайруллина), na Albina Vali Akhmetova (Альбина Валиахметова).

Soma zaidi...

Je, Tunapaswa Kuzingatia Maneno Yako Mazuri au Matendo Yako Mabaya!

Katika hotuba yake katika Programu ya Ufunguzi wa Wiki ya Mawlid al-Nabi Rais Erdoğan alisema, “Mtu pekee katika ulimwengu huu ambaye tunamuiga, tunafuata nyayo zake na ambaye tunajitolea maisha yetu kwake ni Mtume wetu wa Mwenyezi Mungu. Yeye ndiye kiongozi wetu na kipenzi chetu ambaye tutakufa kwa ajili yake. Mola wetu atujaalie tutembee katika nyayo za Mtume wa Mwenyezi Mungu, tujenge shakhsiya yetu kwa maisha yake, na tuwe na maadili mema ya kupigiwa mfano.”

Soma zaidi...

Hizb ut Tahrir / Wilayah Tunisia: Mkutano na Waandishi wa Habari: “Uchaguzi ni njia ya Kuendeleza Mfumo wa Kisekula ambao ni Wajib Ubadilishwe kwa Kusimamisha Khilafah”

Hizb ut Tahrir / Wilayah ya Tunisia ilifanya mkutano na waandishi wa habari katika ukumbi wa mikutano huko Ariana katika mji mkuu, Tunis, saa 10:30 asubuhi kwa saa za eneo, wenye kichwa “Uchaguzi ni njia ya Kuendeleza Mfumo wa Kisekula ambao ni Wajib Ubadilishwe kwa Kusimamisha Khilafah”

Soma zaidi...

Kwa kina Mama, Wake, Dada na Mabinti wa Watu Wenye Nguvu katika Majeshi ya Waislamu

Huu ni ujumbe kutoka kwa wanawake wenye shida wa Umma wa Kiislamu, uliotumwa kwenu, kina mama, wake, mabinti, na dada wa maafisa na askari wa majeshi ya Waislamu. Wao ndio mwili wa matumaini, baada ya Mwenyezi Mungu, kukomesha mauaji ya kikatili huko Gaza na kuikomboa ardhi iliyobarikiwa ya Palestina.

Soma zaidi...

Afisi Kuu ya Habari ya Hizb ut Tahrir: Kitengo cha Wanawake “Wito kwa majeshi kutoka kwa kina Mama, Mabinti na Dada wa Umma wa Kiislamu kuikomboa Ardhi Iliyobarikiwa (Palestina)!”

Wanawake wa Kiislamu kutoka sehemu mbalimbali za dunia wameelekeza wito kwa wana wa majeshi ya Kiislamu kutekeleza wajibu wao wa Kiislamu katika kuwalinda Waislamu wa Ardhi Iliyobarikiwa (Palestina) kutokana na uchafu wa umbile la kiyahudi linaokalia kwa mabavu, na kukomboa kila shubiri ya ardhi hii iliyobarikiwa kutoka kwa makucha ya uvamizi huu wa kikatili.

Soma zaidi...

Kitengo cha Wanawake katika Afisi Kuu ya Habari ya Hizb ut Tahrir Kinachapisha Barua ya Wazi kwa Majeshi ya Waislamu ili Kuikomboa Ardhi Iliyobarikiwa ya Palestina

Takriban watu 40,000 wameuwawa mjini Gaza katika kipindi cha miezi 10 iliyopita, wengi wao wakiwa wanawake na watoto, huku serikali za ulimwengu, zikiwemo nchi za Waislamu zikitazama kama watazamaji pekee wa mauaji haya ya umwagaji damu, bila ya dhamira yoyote ya kisiasa ya kukomesha mauaji hayo. Hakika, tawala nyingi za ardhi za Kiislamu kwa miongo kadhaa zimeimarisha mkono wa uvamizi wa Kiyahudi kupitia mikataba yao ya amani, kuhalalisha mahusiano ya kidiplomasia, na ushirikiano wa kiuchumi na umbile hili la mauaji ya halaiki.

Soma zaidi...
Jiunge kwa hii RSS feed

Vifungu vya Tovuti

Viunganishi

Magharibi

Ardhi za Waislamu

Ardhi za Waislamu