Musharraf atajibu kwa Uhaini wake katika Mahakama ya Mwenyezi Mungu (swt) Je, Watawala wa Sasa Watazingatia?
- Imepeperushwa katika Siasa
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Mnamo tarehe 5 Februari 2023, baada ya kuugua kwa muda mrefu, Musharraf aliaga dunia katika hospitali ya kibinafsi jijini Dubai. Jenerali Pervez Musharraf alichukua mamlaka baada ya mapinduzi kwa serikali ya Nawaz Sharif mwaka wa 1999. Utawala wa Jenerali Musharraf unaweza kutajwa kuwa enzi mbaya zaidi ya kujisalimisha kwa Marekani.