Jumatatu, 30 Muharram 1446 | 2024/08/05
Saa hii ni: (M.M.T)
Menu
Main menu
Main menu

Hizb ut Tahrir / Wilayah Uturuki Semina katika mjini Adana iliolenga Kutafuta Suluhisho la Kiislamu la Mgogoro wa Kiuchumi

Ndani ya mwendelezo wa mfululizo wa makongamano na semina zilizoandaliwa na Hizb ut Tahrir / Wilayah Uturuki chini ya kichwa "Suluhisho la Kiislamu kwa Mgogoro wa Kiuchumi", wawakilishi wa vyama vya kisiasa, mashirika yasiyo ya kiserikali, wawakilishi wa vyombo vya habari vya ndani na walezi walikusanyika mjini Adana.

Soma zaidi...

Tunataka Haki kwa Mahabusu Sio Ahadi za Kilaghai Ambazo Kamwe Hazitekelezwi

Mahakama kwa mara nyingine imewabwaga chini ndugu zetu: Ust Ramadhan Moshi Kakoso (45), Waziri Mkaliaganda (37) na Omar Salum Bumbo (55) wanachama wa Hizb ut Tahrir Tanzania ambao walitekwa, wakabambikiwa kesi ya ‘ugaidi’ na bado wako kizuizini kwa miaka minne na nusu sasa kwa kisingizio cha ‘uchunguzi unaendelea’ huku wakinyimwa haki zao za msingi kama kutembelewa na ndugu zao na kuletewa chakula cha nje ya mahabusu.

Soma zaidi...

Wanawake wa Kiislamu Nchini India Watolewa Ofa ya Kuuzwa na Mabaniani Wenye Misimamo Mikali Kama Sehemu ya Muendelezo wa Utesaji Waislamu Nchini Humo

Katika wiki za hivi karibuni, kumekuwa na ghadhabu iliyoonyeshwa kwenye programu iliyoundwa na Mabaniani wenye misimamo mikali nchini India ambayo iliwaweka zaidi ya wanawake mia moja wa Kiislamu "katika mauzo" katika "mnada" ghushi.

Soma zaidi...
Jiunge kwa hii RSS feed

Vifungu vya Tovuti

Viunganishi

Magharibi

Ardhi za Waislamu

Ardhi za Waislamu