Matatizo ya Kimetaboliki
- Imepeperushwa katika Uchambuzi
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Ni muhimu kuweza kuelezea nini metaboli, ili kuweza kupata ufahamu msingi kuhusu kichwa.
Ni muhimu kuweza kuelezea nini metaboli, ili kuweza kupata ufahamu msingi kuhusu kichwa.
Hukmu kubwa imepitishwa na Mahakama ya Shirikisho ya Shariah ya Pakistan. Ilitangaza vifungu vichache vya sheria ya Waliobadili Jinsia ya 2018 kama kinyume na Uislamu. Kwa hivyo, vitakoma kutekelezwa, ilhali sheria iliyosalia itabaki kutekelezwa.
Raia wa Uturuki katika uchaguzi wa Mei 28 walionyesha utashi na azma ya kuunga mkono njia ya maendeleo zaidi ya nchi. Hayo yamesemwa na Rais Recep Tayyip Erdogan, akiwahutubia wananchi waliokusanyika mnamo Jumatatu usiku kwenye Ikulu ya Rais jijini Ankara, tovuti ya shirika la habari la Anadolu inasema.
Hizb ut Tahrir / Wilayah Pakistan kampeni kwa kichwa, “Kauli za Maulamaa juu ya Ufaradhi wa Kusiamamisha Khilafah” katika mitandao ya kijamii.
Mnamo tarehe 7 Mei, Hay’at Tahrir al-Sham (HTS), alivamia nyumba za wanachama wa Hizb ut Tahrir na kuwaweka kizuizini wanachama wake 18. Uhalifu wao ukiwa ni, mara kwa mara kuufahamisha Ummah kwa mitazamo sahihi ya Kiislamu wakati unapoamiliana na masuala mengi ndani ya Syria.
"Bado hatuna habari zote juu ya kile kilichotokea, lakini inaonekana kama hili ni janga baya zaidi kuwahi kuliona katika Bahari ya Mediterania," alisema Kamishna wa Mambo ya Ndani wa EU mnamo tarehe 16 Juni baada ya mashua iliyobeba wahamiaji kutoka Libya hadi Italy kupinduka katika pwani ya Ugiriki.
Mnamo tarehe 5 Juni 2023, msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Marekani alitangaza, "Ushirikiano wetu na India ni mojawapo ya muhimu zaidi."
Dkt. Aafia Siddiqui alikamatwa mwaka 2008 nchini Afghanistan. Mnamo 2010, Dkt. Siddiqui alitiwa hatiani na mahakama ya Marekani na kuhukumiwa kifungo cha miaka 86 jela.
Katika wiki za hivi karibuni, Tunisia imeshuhudia mmiminiko wa maafisa wa Ulaya. Mnamo Jumapili, Juni 11, 2023, Waziri Mkuu wa Italia,
Japan ilipitisha mswada wenye utata unaolenga kukuza ufahamu wa jumuiya ya LGBT, licha ya ukosoaji kwamba inakosa hakikisho la haki za binadamu na inaweza kuunga mkono ubaguzi kwa njia isiyo ya moja kwa moja.