Wilayah Syria: Kisimamo cha Mji wa Ariha "Daraa Yaomba Nusra kwa Wenye Ikhlasi na Yafunua Barakoa kutoka kwa Wanyonge!"
- Imepeperushwa katika Syria
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Hizb ut Tahrir / Wilayah ya Syria iliandaa kisimamo katika mji wa Ariha viungani mwa Idlib kwa anwani "Daraa Yaomba Nusra kwa Wenye Ikhlasi na Yafunua Barakoa kutoka kwa Wanyonge!"