Jarida la UQAB Toleo 58 - Novemba 2021
- Imepeperushwa katika Jarida la UQAB
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Hizb ut Tahrir Wilayah ya Kenya imechapisha toleo jipya la Jarida la UQAB kwa ajili ya mwezi wa Novemba 2021 M.
Hizb ut Tahrir Wilayah ya Kenya imechapisha toleo jipya la Jarida la UQAB kwa ajili ya mwezi wa Novemba 2021 M.
Serikali ya Uganda ina sera mpya ya kukabiliana na ufisadi kwa kuwafanya watoto kupeleleza familia zao.
Mtawala wa Sudan, Jenerali Abdel Fattah Al-Burhan, ameripotiwa kumwambia afisa mmoja wa Amerika aliye ziarani kuwa jeshi huenda likachukua hatua siku moja kabla ya kufanya mapinduzi dhidi ya serikali ya Waziri Mkuu Abdalla Hamdok.
Hizb ut Tahrir Wilayah Pakistan ilifanya maandamano kote nchini, ikitaka kuachiliwa huru kwa Naveed Butt, msemaji wa Hizb ut Tahrir katika Wilayah Pakistan.
Mnamo tarehe 24 Disemba 2016, Jaji Mkuu Mteule wa Mahakama ya Upeo, Mian Saqib Nisar, alisema, “Ninaahidi hakutakuwa na shinikizo kwa idara ya mahakama na hakuna anayeweza kuthubutu kuhoji uwazi wetu. Siwezi kuutoa muhanga uhai wangu kesho Akhera kwa manufaa yoyote ya kidunia.” Hakika hakimu aliyeongoka ni yule anayehukumu kwa Uislamu ili apate Jannah. Na ole wake yule anayehukumu kwa yasiokuwa Uislamu!
Hizb ut Tahrir Wilayah Pakistan ilifanya maandamano kote nchini, ikitaka kuachiliwa huru kwa Naveed Butt, msemaji wa Hizb ut Tahrir katika Wilayah Pakistan.
Katika kivuli cha upuuzi wa kisekula, Tunisia imekuwa zaidi ya hapo awali kitovu cha uingiliaji wa nje na uwanja wa mizozo ya kimataifa.
Kwa nyoyo zinazonyenyekea kwa Qadhaa na Qadar ya Mwenyezi Mungu (swt), na kwa macho yanayobubujika machozi, Hizb ut Tahrir / Wilayah Sudan inamuomboleza aliyesamehewa kwa idhini ya Mwenyezi Mungu (swt):
Wale Wanaompenda Kikweli Mtume wa Mwenyezi Mungu (saw) ni lazima Wasimamishe Tena Khilafah kwa Njia ya Utume, ambayo ndiyo itakayolinda Heshima ya Mtume wa Mwenyezi Mungu (saw).