Serikali Mpya Nchini Afghanistan
- Imepeperushwa katika Siasa
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Taliban hivi karibuni imetangaza serikali mpya ya mpito baada ya mabatilisho na ucheleweshaji wa mara kadhaa.
Taliban hivi karibuni imetangaza serikali mpya ya mpito baada ya mabatilisho na ucheleweshaji wa mara kadhaa.
Ndugu Naveed Butt, msemaji rasmi wa Hizb ut Tahrir / Wilayah Pakistan hivi sasa ana umri wa miaka 52, ametekwa nyara na mawakala wa utawala wa Pakistan mnamo 11 Mei 2012 kutoka barabara za Lahore mbele ya watoto wake wakati akiwarudisha kutoka shule.
Kofi lililolengwa na wafungwa sita waliojikomboa kutoka gereza la Gilboa; kofi hili lenye nguvu lililofichua umbile la Kiyahudi na mfumo wake dhaifu wa usalama liliufurahisha Ummah wote wa Kiislamu.
Hasira za watu zinaongezeka siku hadi siku kutokana na mauaji ya Sabiya Saifi aliyejitolea kwa ajili ya Ulinzi wa Raia.
Kama ilivyotarajiwa, kwa mara nyengine tena bei ya mafuta imepanda maradufu kuwahi kushuhudiwa katika historia ya Kenya baada ya serikali kusitisha mpango wake wa kulipia gharama za bidhaa za petroli ulioanzishwa mwezi Aprili mwaka huu kama njia ya kuepusha hasira za raia dhidi ya gharama kubwa za maisha.
Wanahabari, vyombo vya habari, mawakili, vyama vya upinzani na mashirika ya kutetea haki za binadamu ya Pakistan wanapambana na Mswada wa Maendeleo ya Vyombo vya Habari wa Pakistan, wakiulaani kama jaribio la kuvinyonga vyombo vya habari.