Ubebaji wa Da'wah ni Faradhi ya lazima ama ni Faradhi ya Kutoshelezana?
- Imepeperushwa katika Maswali ya Kimfumo
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Kwa nyoyo nzito, Waislamu nchini Pakistan na Kashmir Iliyokaliwa walisikia habari za kuuawa shahidi kwa Syed Ali Gilani, huko Srinagar, mnamo Jumatano tarehe 1 Septemba 2021, saa 10.30 jioni.
Hatimaye, baada ya miaka 20 ya uvamizi wa Afghanistan na Waamerika na washirika wao, vikosi hivyo vya uvamizi baada ya kushindwa kwa udhalilifu, viliondoka Afghanistan kwa huzuni saa sita usiku mnamo 30 Agosti 2021.
Ni furaha kwetu katika Afisi ya Habari ya Hizb ut Tahrir / Wilayah Sudan kuwaalika ndugu zetu wataalamu wa vyombo vya habari,
Kais Saied, Kamanda Mkuu wa Jeshi nchini Tunisia, hakuwaaga maafisa wetu na majeshi kutoka kitengo chetu cha helikopta za kijeshi,
Hizb ut Tahrir / Wilayah Syria iliandaa kisimamo katika barabara kuu ya Idlib / Bab Al-Hawaa, baada ya swala ya Ijumaa, kwa anwani "Ewe Daraa, Tusamehe (Lakini wakiomba msaada kwenu katika Dini, basi ni juu yenu kuwasaidia) [Al-Anfaal: 72]"
Rais wa Uturuki Recep Tayyip Erdogan amewasiliana na kiongozi mpya mwenza wa ‘Israel’, akimpongeza kwa kuingia madarakani na kumkumbusha umuhimu wa uhusiano wao wa pande mbili.
Maafisa wa Taliban mnamo siku ya Ijumaa walisema kuwa kundi hilo la wanamgambo limechukua udhibiti wa asilimia 85 ya eneo la Afghanistan, na wasiwasi wa kimataifa unaongezeka juu ya kupata madawa na usambazaji wake nchi humo.