Gazeti la Al-Raya: Vichwa Vikuu vya Toleo 358
- Imepeperushwa katika Al-Rayah
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Kwa kuzingatia masaibu wanayopitia Waislamu katika biladi tofauti tofauti ya ukandamizaji, umasikini, mauaji, kuhama makaazi, mauaji ya halaiki, na uchafuzi wa heshima kwa Rohingya, Uyghur, Kashmir na India, na hali duni ya maisha ya mamilioni ya wakimbizi katika kambi na kunyimwa kwao wengi mahitaji ya kimsingi nchini Syria, Yemen na Ardhi Iliyobarikiwa (Palestina) na kwengineko katika upande mmoja
Ripoti ya video ya Warsha iliyoandaliwa na Hizb ut Tahrir / Wilayah Syria katika mji wa Atma viungani mwa Idlib kama sehemu ya msururu wa warsha zilizoandaliwa eneo la kaskazini mwa Syria lililokombolewa ili kueneza utambuzi wa kisiasa kati ya watu, na zilikuwa kwa anwani:
"Kamati ya utetezi wa wafungwa katika kesi ya kile kinachojulikana kama "uchochezi" nchini Jordan ilielezea kutoridhika kwake na kile ilichoelezea kama hatua ya mamlaka "kuwanyimwa" haki za kimsingi ... na kuwataka waruhusiwe kukutana nao wajue uchunguzi unaofanywa nao."
Assalamu Alaikum wa Rahamtullahi wa Barakaatuh.
Je, benki za Kiislamu hufanya kazi kulingana na sheria za Kiislamu mjini Tulkarm, na mikoa ya Ukingoni wa Magharibi?
Mnamo tarehe 2 Septemba, 2021 Mkurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai (DCI) nchini Tanzania Bw. Camilius Wambura alitoa ripoti yake kuwa Hamza Mohamed (30) mfanyabiashara na mwanachama wa chama tawala (CCM) aliyeuawa na polisi siku ya tarehe 25 Agosti 2021 baada ya kuwaua askari watatu na mlinzi mmoja jijini Dar es Salaam kwamba alikuwa gaidi wa kujitoa muhanga.
Assalamu alaikum wa rahmatullahi wa barakatuhu, sheikh wetu. Namuomba Mwenyezi Mungu Akuhifadhi na Akupe afya njema kwa ajili ya hii daawa na dini na Akupe maisha marefu katika ibadah Yake na Akujaalie uishuhudie Khilafah ya pili iliyoongoka.
Hizb ut Tahrir / Wilayah Tunisia inamuomboleza mmoja wa wanachama wake, mheshimiwa na mbebaji ulinganizi:
Taliban hivi karibuni imetangaza serikali mpya ya mpito baada ya mabatilisho na ucheleweshaji wa mara kadhaa.