Kwa Amri ya Balozi wa Jumuia ya Ulaya, Serikali ya Mpito imbioni kutafuta Uugwaji mkono!!
- Imepeperushwa katika Sudan
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Inaonekana kana kwamba Waziri wa Fedha, ambaye ni mtaalamu wa uchumi wa kirasilimali, haelewi uchumi huo isipokuwa kupitia uongozi wa Taasisi ya Fedha ya Kimataifa, hivyo mtu huyu aliendelea kusisitiza nguzo ya dawa hii mbovu; kusitisha ruzuku juu ya bidhaa, haswa mafuta na mkate!