Upofu wa Moroko kwa Zama Zake Zilizo Pita na Mustakbali Wake
- Imepeperushwa katika Tanzania
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Mfalme Mohammed wa Sita wa Moroko amekamilisha ziara yake nchini Tanzania.
Mfalme Mohammed wa Sita wa Moroko amekamilisha ziara yake nchini Tanzania.
Msanii maarufu wa Marekani Chris Brown yuko katika ziara ya Jiji la Mwambao wa Pwani la Mombasa Kenya kufanya tamasha la muziki katika Bustani ya Mama Ngina. Msanii huyu si maarufu tu kwa wapenzi wa muziki bali pia katika upande wa ujambazi.
Kwa mara nyingine tena, kashfa nyingine ya ufisadi imeonekana. Wakati huu inawahusisha maafisa wa Wizara ya Afya wanaozuiliwa juu ya ufujaji wa zaidi ya Shilingi bilioni tatu ($300m). kama kawaida, uchunguzi umeanzishwa lakini kwa yakini hakuna atakaye shitakiwa.
Vita dhidi ya madawa ya kulevya vinaonekana kuzidi kasi nchini Tanzania baada ya Kamishna wa Eneo la Dar es Salaam kuamuru msururu wa ukamataji wa watu wenye haiba ya juu na maarufu.
Hizb ut Tahrir Tanzania inakemea kwa ukali dhidi ya ukatili, unyama na mauwaji yaliyo fanywa na kundi la watu wasiojulikana waliokuwa na silaha walio washika na kuwatesa vijana watatu wa Hizb ut Tahrir mnamo 1 Machi katika sehemu ya Kiboje, Eneo la Kusini mwa Zanzibar.
Vichwa Vikuu vya Toleo 276
India hivi karibuni imepitisha sheria inayoitwa Sheria ya Mabadiliko ya Uraia mnamo Disemba 2019, itakayowapa uraia watu wa dini zilizo na watu wachache isipokuwa Waislamu kutoka nchi jirani.
Kwa muongozo wa Amiri wa Hizb ut Tahrir, Mwanachuoni Mkubwa, Ata Bin Khalil Abu Al-Rashtah, Mwenyezi Mungu amlinde, Afisi Kuu ya Habari ya Hizb ut Tahrir ili zindua kampeni pana ya kiulimwengu kuadhimisha tukio Adhimu la Hvijria la Ukombozi wa Konstantinopoli (mji wa Heraclius) ambao ulizungukwa kuanzia mnamo 26 Rabii’ al-Awwal mpaka 20 Jumada al-Awwal 857 H sawia na 5 Aprili mpaka 29 Mei 1453 M na hivyo bishara njema ya Hadith tukufu ya Nabii (saw) ikatimia:
Hizb ut Tahrir nchini Sweden iliandaa maandamano mbele ya Ubalozi wa Uchina kupinga mateso na ubaguzi unaofanywa na Utawala wa Kikomunisti wa Uchina kwa Waislamu Wauighur Turkestan Mashariki. Mfanyakazi wa Ubalozi wa Uchina alifungulia mziki kwa sauti ya juu sana kupitia spika za sauti ili kuvuruga maandamano licha ya polisi kuwaonya wazime mziki.
Wanachama wa Hizb ut Tahrir na wakaazi wa Jiji la Al-Abyad pamoja na viungani mwake walihudhuria Kongamano la Khilafah ambalo lilifanyika siku ya Jumamosi, 5 Rajab 1441 H, sawia na 29/2/2020M katika Uwanja wa Uhuru Jijini Al-Abyad.