Jumanne, 08 Jumada al-thani 1446 | 2024/12/10
Saa hii ni: (M.M.T)
Menu
Main menu
Main menu

Hizb ut Tahrir / Ardhi ya Baraka - Palestina: Kitengo cha Wanawake Kimeandaa Warsha kuhusu CEDAW

Kitengo cha Wanawake katika Hizb ut Tahrir ndani ya Ardhi ya Baraka (Palestina) kiliandaa mnamo Jumatano, 23 Rabii' Awwal 1441 H – 20 Novemba 2019 M warsha kubwa baada ya swala ya Asr ndani ya Msikiti wa Al-Sha'rawi huko Hebron (al-Khalil) ikiwa ni sehemu ya kampeni ya uzindushi dhidi ya CEDAW.

Soma zaidi...

Hizb ut Tahrir/ Wilayah Bangladesh: Kampeni, Fanyakazi na Hizb ut Tahrir ili Kusimamisha Khilafah Rashida

Wakati ambapo Waislamu wanataabika na kuhisi kutokuwepo kwa ngao yao, Khilafah, Hizb ut Tahrir Wilayah Pakistan imeanzisha Kampeni ya Twitter ili kuwataka simba wa Vikosi vya Kijeshi vya Pakistan kutoa Nussrah kwa Hizb ut Tahrir ili kusimamisha Khilafah ili hatimaye waweze kuunganishwa katika ukombozi wa Kashmir iliyo Vamiwa, na kwenda kuikomboa Al Aqsa Al Mubarak.

Soma zaidi...

Hizb ut Tahrir/ Afghanistan: Wanafunzi Wanaharakati Wakiandamana dhidi ya Filamu Inayopinga Uislamu kwa Kumkejeli Mtume Muhammad (saw)

Wanaharakati kutoka Hizb ut Tahrir/ Afghanistan waliongozo maandamano ya wanafunzi mnamo Shawwal 1433 H - Septemba 16, 2012 M katika vyuo vikuu vyote ndani ya Kabul. Maandamano haya yalifanyika ili kupinga filamu iliyoandaliwa na Muamerika inayopinga Uislamu kwa kumkejeli Mtume Muhammad (saw) na uwepo wa Amerika ndani ya Afghanistan.

Soma zaidi...

Dola ya Uchina na Utawala wake Unaogopa Mwito wa La ilaha illa Allah

Jumanne, 2 Aprili 2019, Hizb ut Tahrir Kenya ilituma ujumbe wake kwa Ubalozi wa Uchina nchini Kenya. Ujumbe huo uliongozwa na Mkuu wa Kamati ya Mawasiliano wa Hizb ut Tahrir /Kenya Arkanuddinn Yassin, akifuatana na Shabani Mwalimu -Mwakilishi kwa Vyombo vya Habari wa Hizb ut Tahrir /Kenya. Waliwasili katika ubalozi mjini Nairobi saa 8:56 a.m EAT.

Soma zaidi...
Jiunge kwa hii RSS feed

Vifungu vya Tovuti

Viunganishi

Magharibi

Ardhi za Waislamu

Ardhi za Waislamu