Gazeti la Al-Raya: Vichwa Vikuu vya Toleo 269
- Imepeperushwa katika Al-Rayah
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Vichwa Vikuu vya Toleo 269
Vichwa Vikuu vya Toleo 269
Vichwa Vikuu vya Toleo 268
Vichwa Vikuu vya Toleo 267
Bunge la Chini la Jordan mnamo Jumatano jioni, 15/01/2020, lilipitisha kielelezo cha sheria ya bajeti ya serikali ya mwaka 2020 na kielelezo cha bajeti ya mwaka ya taasisi huru za Ummah.
Al-Jazeera imeripoti kwamba wanajeshi watatu wa India waliuawa kwa silaha zilizorushwa kutoka upande wa Kashmir, wakati Pakistan imetangaza kufariki kwa wanajeshi wake wawili na mwengine kujeruhiwa na makombora kutoka India, katika mstari wa udhibiti unaotenganisha pande mbili hizo.
Ripoti ya Mradi wa Kuunganisha Daraja (BBI) iliyochapishwa katika gazeti rasmi la serikali mnamo 24 Mei 2018 na ikawekwa hadharani kwa umma mnamo Novemba mwaka jana ili kujadiliwa na umma,
“Itakapo kuja nusura ya Mwenyezi Mungu na ushindi. Na ukaona watu wanaingia katika Dini ya Mwenyezi Mungu kwa makundi. Zitakase sifa za Mola wako Mlezi, na umuombe msamaha; hakika Yeye ndiye anaye pokea toba”. [An-Nasr:1-3]
Mnamo 10 Disemba 2019, Rais wa Urusi Vladimir Putin alitoa hotuba ya kwanza kuhusiana na chama cha kimataifa cha Kiislamu cha kisiasa cha Hizb ut Tahrir.
Watoto wanane walikuwa ni miongoni mwa wahamiaji 11 waliozama mnamo Januari 11, 2020 wakati mashua yao ilipozama katika pwani ya Uturuki magharibi. Viatu vyao, nguo zangu na vitambulisho vyao vyote vilitupwa ufukweni.
Mashtaka ya Trump yameigawanya Amerika. Baadhi wamesema kwamba katiba ya Amerika imepasuliwa, na katika ishara za kuonesha upinzani, na saa kadhaa baada ya Seneti kumuacha huru Trump, msemaji wa Bunge la Wawakilishi, Nancy Pelosi, alitoa ishara ya kushangaza kwa umma moja kwa moja kupitia runinga.