Risala Kutoka kwa Mwanachuoni Mkubwa Ata Bin Khalil Abu Al-Rashtah Katika Siku Kuu ya Idd ul-Adha Yenye Baraka ya Mwaka 1440 H Ikiafikiana na Mwaka 2019 M
- Imepeperushwa katika Hotuba
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Assalamu Alaikum Wa Rahmatullah Wa Barakatuh, Mwenyezi Mungu aukubali utiifu wenu, na Mwenyezi Mungu aifanye Idd yenu ijae kheri na baraka. Mwenyezi Mungu aikubali Hajj ya waliohiji, na Mwenyezi Mungu aifanye iwe Hajj iliyo kubaliwa, na juhudi zilizo pokewa na dhambi zilizo samehewa.