Jumamosi, 21 Muharram 1446 | 2024/07/27
Saa hii ni: (M.M.T)
Menu
Main menu
Main menu

Mapigano ya Kikabila Huko Darfur kwa Kukosekana Dola ya Uchungaji; Khilafah kwa njia ya Utume – Imepelekea na Ingali Inapelekea Umwagikaji wa Damu

Siku ya Jumatatu, 1/18/2021, Kamati ya Madaktari wa Darfur Magharibi ilitangaza kuwa wahasiriwa wa mji wa El Geneina wameongezeka hadi wafu 129 na majeruhi 198 katika mzozo ulioibuka kati ya Waarabu wahamaji na mapote ya kabila katika eneo hilo.

Soma zaidi...

Kuwasilisha Elimu ya Ngono katika Kongamano la Kielimu Kunajiri katika Muktadha wa Kisiasa wa Serikali Ambayo Imetangaza Vita Vyake juu ya Hukmu Zilizobakia za Uislamu na Kuhalalisha Maadili ya Hadhara ya Magharibi

Katika Kongamano la Mtaala wa Elimu wa hatua za shule za kati na za upili, ambao ulianza kazi yake tarehe 05/01/2021, chini ya kauli mbiu: "Kwa ajili ya mtaala unaosimamia maadili ya kibinadamu,

Soma zaidi...

Vifungu vya Tovuti

Viunganishi

Magharibi

Ardhi za Waislamu

Ardhi za Waislamu