Hotuba ya Hizb ut Tahrir / Wilayah ya Sudan katika Mkutano na Waandishi wa Habari Kwa Jumuiya ya Ikhwan ul-Muslimin na Mashirika Yanayofanya Kazi katika Masuala ya Palestina
- Imepeperushwa katika Sudan
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Suala la kuiregesha Palestina mikononi mwa Umma wa Kiislamu, na kuitakasa na najisi ya Mayahudi, ni suala la Waislamu wote. Sio suala la watu wa Palestina peke yao, kwani ufuska wa Mayahudi unataka iwe hivyo, na mbele yake wapo watawala wa Magharibi koloni ya Kikafiri, na nyuma yao wako watawala wa dola zenye madhara katika nchi za Waislamu.