Watawala Wameitelekeza Al-Aqsa, Hivyo na Tuwalinganie Moja kwa Moja Maafisa wa Jeshi la Pakistan Kuhamasika Kuikomboa
- Imepeperushwa katika Siasa
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Mnamo tarehe 10 Mei 2021, siku tatu baada ya kuanza mashambulizi ya umbile la Kiyahudi kwenye Qibla cha mwanzo cha Waislamu, al-Masjid al-Aqsa, Imran Khan alifanya Umra na aliswali mbele ya Qibla cha pili na cha mwisho, al-Masjid al-Haram.