Ukoloni wa Kithaqafa ya Urusi Katika Asia ya Kati
- Imepeperushwa katika makala
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Nyuma ya pazia ya mgogoro unaoendelea wa idadi ya watu nchini Urusi, Kremlin imechangamkia upanuzi wa thaqafa yake ndani ya Asia ya Kati, ikiwekeza kiasi kikubwa cha fedha katika hili na kutumia ushawishi wake kwa tawala za eneo hilo.