Miaka 22 Ndani ya Korokoro Maalumu ya Utawala: Waislamu 10 Wamefungwa ndani ya Kazan
- Imepeperushwa katika Siasa
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Mnamo 5 Februari 2020, ndani ya Kazan katika kikao cha mahakama inayotembea, Mahakama ya Kijeshi ya Wilayah ya Volga imewahukumu Waislamu kumi kwa kushiriki katika harakati za Hizb ut Tahrir.