Hizb ut Tahrir/ Uholanzi: Semina Serikali Zinahusika na Siasa za Kupinga Uislamu, Mashambulizi dhidi ya Quran
- Imepeperushwa katika Uholanzi
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Hivi karibuni, mashambulizi dhidi ya Kitabu cha Mwenyezi Mungu Mtukufu yamefanywa upya katika nchi nyingi za Ulaya, ikiwemo Uswidi, ambapo mtu muovu mwenye chuki iliichoma moto nakala ya Qur'an Tukufu mbele ya ubalozi wa Uturuki jijini Stockholm, na kisha mtu mmoja mwanachama wa Harakati dhidi ya Kiislamu ya Pegida iliichana nakala ya Qur’an nchini Uholanzi