Alhamisi, 26 Muharram 1446 | 2024/08/01
Saa hii ni: (M.M.T)
Menu
Main menu
Main menu

Afisi Kuu ya Habari / Kitengo cha Wanawake: “Je, Tunapaswa Kujibu Vipi Maandamano ya Iran ya Kupinga Hijab?”

Katika muda wa wiki mbili zilizopita, kumekuwa na maandamano kote nchini Iran na katika sehemu nyingine za dunia kujibu kifo cha Mahsa Amini, mwanamke wa Kikurdi mwenye umri wa miaka 22, ambaye inasemekana alikamatwa na polisi wa maadili wa Iran kwa kutofinika nywele zake ipasavyo na Hijabu na kupigwa hadi kufa akiwa chini ya ulinzi wao.

Soma zaidi...

Ripoti ya Habari ya Sudan

Muendelezo wa amali za umma zilizofanywa na Hizb ut Tahrir/Wilayah Sudan katika wilaya na mikoa mbali mbali ya nchi ili kujenga rai jumla yenye ufahamu juu ya hukmu za Uislamu na suluhu zake zinazohusiana na mifumo mbali mbali ya maisha, ambazo zimeshughulikia mgogoro ya utawala na mipango inayopendekezwa kuutatua, na maafa ya mafuriko na mvua zilizonyesha katika mikoa mbalimbali nchini...

Soma zaidi...

Hizb ut Tahrir / Wilayah Uturuki Visimamo vya Kulaani "Kamwe Hatutaitelekeza Turkestan Mashariki!"

Utawala katili wa China unaendelea na mauaji na ukatili katika eneo la Turkestan Mashariki ambayo iliikalia kimabavu kwa miongo kadhaa bila ya kupungua, ambapo dola ya China, ambayo imewafungia mamilioni ya Waislamu wa Uyghur katika kambi za uzuizi kwa jina la (utoaji elimu), inatumia mateso kama silaha ya kutaka kuwaondoa Waislamu wa Turkestan Mashariki kutoka kwenye kitambulisho chao cha Kiislamu kwa kushajiishwa na watawala walio kimya katika nchi za Kiislamu

Soma zaidi...

Tanzia ya Mbebaji Ulinganizi

Kwa imani na kujisalimisha kwa qadhaa ya Mwenyezi Mungu (swt), Hizb ut Tahrir/Wilaya ya Jordan inaomboleza kwa Waislamu kwa jumla, na watu wa Jordan haswa, na kwa Amir wa Hizb ut Tahrir, mwanachuoni mkubwa Ata bin Khalil Abu Al-Rashtah, mmoja wa mashababu wake wanyofu, wavumilivu, na mashuhuri, na mwenye misimamo thabiti inayomridhisha Mwenyezi Mungu na Mtume wake (saw), na wala hatumtakasi yeyote mbele ya Mwenyezi Mungu:

Soma zaidi...

Vifungu vya Tovuti

Viunganishi

Magharibi

Ardhi za Waislamu

Ardhi za Waislamu