Wale Wanaotawala na Wanaotaka Kuutawala Ummah Wanatafuta Dhamana ya Mustakbali wao Ubavuni mwa Mabwana zao wa Magharibi
- Imepeperushwa katika Habari na Maoni
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Uturuki: Mwenyekiti wa Chama cha Republican People's Party Kemal Kilicdaroglu alikwenda London, mji mkuu wa Uingereza, kufanya msururu wa ziara. Wakati wa ziara yake nchini Uingereza, Kilicdaroglu alikutana na duara na wawekezaji wa sayansi na teknolojia.