Jumatatu, 23 Muharram 1446 | 2024/07/29
Saa hii ni: (M.M.T)
Menu
Main menu
Main menu

Je, Uislamu Unaweza Kuwepo bila ya Qur’an na Sunnah Ewe Erdoğan?

Akizungumza katika Mkutano wa Baraza Pana la Ushauri Mkoa wa Istanbul la Chama cha AK uliofanyika katika Haliç Congress Center, Rais Recep Tayyip Erdoğan alisema, “Hakuwezi kuwa na fikra ya Alevi bila ya Mwenyezi Mungu, Muhammad na Ali. Hakuna ubinadamu kwa wale waliojengwa juu ya uchochezi mpotovu.” (03.09.2022 Yeni Şafak)

Soma zaidi...

Chaguzi za Kidemokrasia: Njia ya Kumakinisha Ukoloni Mamboleo

Baada ya IEBC kumtangaza naibu rais Dkt William Ruto kuwa ndiye rais – mteule, ujumbe wa maseneta wa Amerika ukiongozwa na Seneta Chris Coons uliizuru Kenya. Ikumbukwe kwamba seneta Chris alikuwa mchangiaji mkubwa sana wa mazungumzo ya ‘handshake’ kati ya rais Uhuru Kenyatta na aliyekuwa waziri mkuu Raila Amolo Odinga.

Soma zaidi...

Uongozi wa Kisiasa na Kijeshi wa Pakistan Unalinda Ufisadi na Wafisadi nchini Qatar

Baraza la mawaziri la kifederali la Pakistan mnamo tarehe 22 Agosti 2022 liliidhinisha kutiwa saini kwa makubaliano kati ya dola ya Qatar na Jeshi la Pakistan kwa ajili ya kutoa usalama kwa kipute kijacho cha Kombe la Dunia la FIFA 2022, hafla kubwa itakayofanyika nchini Qatar, ambapo zimesalia siku 90 pekee.

Soma zaidi...

Taliban Waliwasili jijini Moscow kama Wafanyibiashara badala ya Kufikisha Risala kutoka kwa Mwenyezi Mungu!

Mnamo Agosti 15, shirika la habari la Kormesant.ru liliripoti: "Taliban" (harakati inayotambuliwa kama ya kigaidi na iliyopigwa marufuku katika Shirikisho la Urusi) inakusudia kuanzisha biashara ubadilishanaji na Urusi. Waziri wa Viwanda na Biashara wa Imarati ya Kiislamu ya Afghanistan, Nuriddin Azizi, alisema hayo wakati wa ziara yake ya kikazi jijini Moscow.

Soma zaidi...

Vifungu vya Tovuti

Viunganishi

Magharibi

Ardhi za Waislamu

Ardhi za Waislamu